26.1 C
Dar es Salaam
Friday, January 3, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Alikib na Diamond kuchuana tuzo za AFRIMMA 2021

Na Brighiter Masaki, Mtanzania Digital

Tuzo za AFRIMMA 2021 zimewakutanisha Mastaa wa Tanzania, Diamond Platnum na Alikiba huku Nandy na Zuchu wakichuana katika tuzi ya Msanii bora wa kike.

Ikumbukwe kuwa kila mwaka tuzo hizo hutolewa barani Afrika na pia duniani kote kupitia mkampuni na majarida tofautofauti mfano, Afrimma, Soundncity, Mtv, Bas Bet na nyinginezo nyingi.

Afrima wametoa vipengele vingi na miongoni mwa vipengele ambavyo watu walikuwa wakivisubiria sana na vile ambavyo wataonekana au watawekwa wasanii kutoka Tanzania.

Miongoni mwa wasanii waliopo kwenye baadhi ya vipengele katika tuzo hizi kutoka Tanzania ni Alikiba, Diamond Platnumz, Nandy, Zuchu, Rosa Ree, pia maproducer na madirector kutpoka Tanzania mfano, Director Kenny, Producers S2kizzy na Kimambo.

Katika kipengele kikubwa mbacho kinasubiriwa sana ni kile Cha “Best Male East Africa” msanii bora wa kiume kutoka Afrika mashariki ambapo wameshindanishwa Diamond Platnumz, na Alikiba, wanaotoka Tanzania huku mataifa mengine ya Afrika amshariki wakiwemo.

Kutoka Uganda ni Eddy Kenzo, Otile Brown Kenya na Khalgraph Jones Kenya huku, The Ben kutoka Rwanda na Gildo Kasa wa Ethiopia.

Lakini pia kwa mara nyingine tena, Zuchu pamoja na Nandy wanakutana katika kipengele kimoja Tuzo za Afrimma 2021 ambapo wamekutana katika kipengele kimoja cha Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki” (Best Female East Africa)

Katika Kipengele cha Msanii Bora Wa Mwaka Afrika Mashariku Waliotajwa ni.

Afrima Video of the year,

Music Producer of the year ambapo Tanzania wameingia Kimambo na S2kizzy

Best African Dancer Angela Nyigu

Best Female Rap Act Rosa Ree

Best Video Director Director Kenny

Artist of the year Diamond Platnumz

Best male east Africa ameingia Diamond Platnumz, na Ali Kiba.

Best live Act Diamond Platnumz

Mbali na vipengeel hivyo ambavyo wapo wasanii kutoka Tanzania lakini pia kuna vipengele katika mataifa mbalimbali.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles