-Cairo
Wizara ya afya nchini Misri imetangaza vifo vya watu 11 na wengine 98 kujeruhiwa kufuatiwa ajali ya treni iliyotokea siku ya jumapili Aprili 18, 2021.
Katika taarifa hiyo iliyotolewa na Wizara ya Afya inasema uchunguzi juu ya chanzo cha ajali hiyo bado unaendelea huku.
Hata hivyo treni hiyo ilikuwa ikifanya safari zake kutokea Mji mkuu wa Cairo kuelekea Mji wa Nile Delta wa Mansoura.