24.8 C
Dar es Salaam
Friday, June 2, 2023

Contact us: [email protected]

Watu 11 wapoteza maisha Misri

-Cairo

Wizara ya afya nchini Misri imetangaza vifo vya watu 11 na wengine 98 kujeruhiwa kufuatiwa ajali ya treni iliyotokea siku ya jumapili Aprili 18, 2021.

Katika taarifa hiyo iliyotolewa na Wizara ya Afya inasema uchunguzi juu ya chanzo cha ajali hiyo bado unaendelea huku.

Hata hivyo treni hiyo  ilikuwa ikifanya safari zake kutokea Mji mkuu wa Cairo kuelekea Mji wa Nile Delta wa Mansoura.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,264FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles