Meneja Mwandamizi wa Bima wa Benki ya NMB, Martine Massawe (kulia) akizungumza kwenye mdahalo wakati wa mkutano wa wadau wa Bima uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma. katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam, Khamis Suleiman na kulia ni Mwezeshaji, Margaret Ikongo.
Mkurugenzi wa Mipango, Utafiti na Maendeleo ya Masoko kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania – Muyengi Zakaria akimkabidhi cheti Meneja Mwandamizi wa Bima wa Benki ya NMB, Martin Massawe ikiwa ni kutambua mchango wa NMB katika sekta ya Bima nchini kwenye Mkutano wa wadau wa Bima uliofanyika mwishoni mwa juma. Wengine ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam, Khamis Suleiman (Katikati).