Urais CCM ni mgumu

SHABANI MATUTU NA FREDY AZZAH, DAR ES SALAAM MCHAKATO wa kumpata mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) umekuwa mgumu kutokana na chama hicho kutangaza hatua sita muhimu za kumpata kada atakayepeperusha bendera yao katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu. Inaelezwa utaratibu huo huenda ukawa kizingiti kwa baadhi ya wagombea kujikuta wakitupwa nje hatua … Continue reading Urais CCM ni mgumu