Unyonyeshaji unavyoweza kuepusha saratani ya matiti, udumavu

Na AVELINE KITOMARY-DAR ES SALAAM KILA mwaka ifikapo Agosti 1 hadi 7 dunia huadhimisha wiki ya unyonyeshaji ili kuha- masisha njia salama itakayoweza kumkinga mtoto na maradhi. Kulingana na Utafiti wa Hali ya Lishe nchini wa mwaka 2018, takribani asilimia 97 ya watoto wenye umri chini ya miaka miwili wananyonyeshwa maziwa ya mama. Idadi ya … Continue reading Unyonyeshaji unavyoweza kuepusha saratani ya matiti, udumavu