HomeAfya na Jamii Afya na JamiiKitaifa TSO yawatunuku Yatima vyeti vya mafunzo ya ujasiriamali By Mtanzania Digital October 28, 2022 0 1499 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Tanzanite Support Organization (TSO), Bahati Chando (katikati waliokaa), akiwa katika picha na vijana wanaolelewa na vituo vya watoto yatima baada ya kuwakabidhi yeti vya kuhitimu mafunzo ya Ujasiriamali na Kujitegemea wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Dar es Salaam leo. Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Tanzanite Support Organization (TSO), Bahati Chando, akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya Ujasiriamali na Kujitegemea, Abudulkam Jaffar (kushoto), kutoka Kituo cha Chamakua wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Dar es Salaam leo. Mhitimu wa mafunzo ya Ujasiriamali na Kujitegemea, Assanath Abass, kutoka Kituo cha Ijango Orphanage Centre akitoa shukrani kwa niaba ya wenzake baada ya kukabidhiwa vyeti vya kuhitimu mafunzo ya Ujasiriamali na Kujitegemea, jijini Dar es Salaam leo. Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Tanzanite Support Organization (TSO), Bahati Chando, akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya Ujasiriamali na Kujitegemea, Jumanne Juma kutoka Kituo cha Ijango wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Dar es Salaam leo. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleMechi Zenye Odds Kubwa Wikiendi HiiNext articleSerikali yaipa tano URA SACCOS Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz/ Related Articles Elimu na Teknolojia ZEEA yaanza kutoa mikopo kidijitali, maafisa washauriwa kuwa makini Michezo IDARA YA UHAMIAJI YAWAPA URAIA WACHEZAJI SINGIDA BS Elimu na Teknolojia NECTA yawafutia matokeo watahiniwa 67 kwa udanganyifu, ufaulu kwa 5.54% LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow593,000SubscribersSubscribe Latest Articles Elimu na Teknolojia ZEEA yaanza kutoa mikopo kidijitali, maafisa washauriwa kuwa makini Michezo IDARA YA UHAMIAJI YAWAPA URAIA WACHEZAJI SINGIDA BS Elimu na Teknolojia NECTA yawafutia matokeo watahiniwa 67 kwa udanganyifu, ufaulu kwa 5.54% Elimu na Teknolojia FEZA Boys yafaulisha wanafunzi wote, yafichua siri ya mafanikio Habari Kuu Kamishna Doriye awataka watumishi NCAA kuongeza ubunifu Load more