26.6 C
Dar es Salaam
Monday, December 16, 2024

Contact us: [email protected]

TSO yawatunuku Yatima vyeti vya mafunzo ya ujasiriamali

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Tanzanite Support Organization (TSO), Bahati Chando, akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya Ujasiriamali na Kujitegemea, Abudulkam Jaffar (kushoto), kutoka Kituo cha Chamakua wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Dar es Salaam leo.
Mhitimu wa mafunzo ya Ujasiriamali na Kujitegemea, Assanath Abass, kutoka Kituo cha Ijango Orphanage Centre akitoa shukrani kwa niaba ya wenzake baada ya kukabidhiwa vyeti vya kuhitimu mafunzo ya Ujasiriamali na Kujitegemea, jijini Dar es Salaam leo.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Tanzanite Support Organization (TSO), Bahati Chando, akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya Ujasiriamali na Kujitegemea, Jumanne Juma kutoka Kituo cha Ijango wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Dar es Salaam leo.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles