26.1 C
Dar es Salaam
Friday, January 3, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

TRUMP ATAKA RAIS MADURO ABANWE ZAIDI

NEW YORK, MAREKANI


RAIS wa Marekani Donald Trump amesisitizia wito wa kurejesha katika hali ya kawaida uhuru wa kisiasa na demokrasia nchini Venezuela.

Akizungumza na viongozi wa Amerika ya Kusini mjini hapa, Rais Trump amesema atachukua hatua zaidi, dhidi ya kile alichokiita utawala wa kidikteta wa Rais Nocolas Maduro.

Amesema watu wa Venezuela wamekuwa wakikosa chakula na nchi yao kuzidi kuharibika, licha ya awali kuwa ni nchi tajiri.

Mwezi uliopita Serikali ya Marekani iliiwekea Venezuela vikwazo vipya vya kifedha.

Aidha ilimuwekea pia vikwazo Rais Maduro na baadhi ya wasaidizi wake wa karibu, kwa kile ilichokiita kuwa ni diktekta.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles