27.2 C
Dar es Salaam
Friday, April 19, 2024

Contact us: [email protected]

Tiffah wa Diamond na Zari awekwa wazi

DIAMOND...NA CHRISTOPHER MSEKENA

SHEREHE za watoto wa mastaa katika fani mbalimbali nchini zinaendelea kushika chati, baada ya mtoto wa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’, Lattifah Abdul ‘Tiffah’ kufanyiwa sherehe kubwa jana.

Sherehe hiyo ilifanyika nyumbani kwa msanii huyo Tegeta kama baadhi ya mastaa waliowawahi kuwafanyia sherehe watoto wao walipozaliwa akiwemo, Zamaradi Mketema, Aunt Ezekiel, Mboni Masimba, Hbaba, Flora Mvungi na wengine wengi.

Wazazi wake wameweza kumficha sura kwa muda wote ambao alikuwa hajatimiza siku arobaini licha ya kufichwa sura ameweza kupata dili ya kuwa balozi wa maduka mawili makubwa, moja ni duka la nguo za watoto Msasani City Mall baby shop pamoja na Super Market iliyopo Pugu ‘Pugu Mall’.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles