‘Serikali ikiwa na malalamiko, nayo ishitaki’

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital WADAU wa habari nchini, wameeleza kwamba, uundwaji wa Bodi ya Idhibati ya Habari huru, utaweka mazingira ya usawa kati ya Serikali na vyombo vya habari nchini. Wameeleza kuwa, iwapo bodi hiyo ya kitaaluma haitaingizwa mkono wa Serikali katika uundwaji wake, serikali itapata sehemu ya kwenda kupeleka malalamiko yake pale itakapokwazwa … Continue reading ‘Serikali ikiwa na malalamiko, nayo ishitaki’