24.9 C
Dar es Salaam
Sunday, April 21, 2024

Contact us: [email protected]

Protais Mbayo Falo aiweka wazi ‘Nitaenda Wapi’

Ontario, Canada

Mwimbaji anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Injili, Protais Mbayo Falo, kutoka Ontario, Canada amerudi kivingine na wimbo mpya, Nitaenda Wapi.

Falo, mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), aliyezaliwa nchini Burundi na kukulia Kigoma, Tanzania amewaomba wapenzi wa muziki huo Afrika Mashariki waupokee wimbo wake, Nitaenda Wapi kwa sababu umebeba ujumbe mzuri wa Mungu.

“Nimeachia video ya wimbo wangu mpya Nitaenda Wapi katika chaneli yangu ya YouTube, kwa unyenyekevu mkubwa naomba sapoti kwa mashabiki wa muziki wa Injili ili huduma yangu izidi kukua na kuwabariki wengi,” amesema Falo ambaye hapo awali alitamba na wimbo Yesu Ndio Kimbilio.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles