24.2 C
Dar es Salaam
Monday, May 27, 2024

Contact us: [email protected]

Picha| OSHA yaendelea kutoa elimu Sabasaba

Mkaguzi wa Afya wa OSHA, Saredho Yusuph akifafanua kwa mdau kuhusu huduma za usalama na afya zinazofanywa na OSHA ikiwemo hatua tatu za upimaji afya kwa wafanyakazi ambazo ni upimaji afya kabla ya ajira,wakati wa ajira na baada ya ajira.
Mkaguzi wa umeme wa OSHA, Maria Ndaskoy akitoa elimu ya usalama wa umeme katika maeneo ya kazi kwa mdau aliyetembela banda la Maonesho la OSHA katika Maonesho ya 46 ya Sabasaba 2022.

Pichani ni baadhi ya wadau waliotembelea Banda la Maonesho la OSHA na kupata elimu juu masuala mbalimbali yanayohusu usalama na afya mahali pa kazi.

Huduma mbalimbali zinazotolewa na OSHA katika Maonesho haya ni:
-Elimu ya usalama na afya kazini
-Ushauri wa kitaalam kuhusu masuala ya usalama na afya mahali pa kazi
-Usajili wa maeneo ya kazi
-Vipimo vya magonjwa yatokanayo na kazi nk.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles