MREMBO anayefanya poa kwenye muziki wa Hip hop
nchini Marekani, Nicki Minaj, ameweka wazi kuwa ana kiu ya kupata mtoto na
mumewe mtarajiwa Kenneth Petty na
ameanza mpango wa kunasa ujauzito.
Katika mahojiano na mtandao wa Entertainment Tonight
hivi karibuni, Nicki Minaj alisema anahitaji mtoto mapema sana ndiyo maana siku
hizi ameanza kufanya mapenzi mara tatu usiku.