Nicki Minaj asaka mtoto kwa kasi

0
1216

MREMBO anayefanya poa kwenye muziki wa Hip hop nchini Marekani, Nicki Minaj, ameweka wazi kuwa ana kiu ya kupata mtoto na mumewe mtarajiwa Kenneth  Petty na ameanza mpango wa kunasa ujauzito.

Katika mahojiano na mtandao wa Entertainment Tonight hivi karibuni, Nicki Minaj alisema anahitaji mtoto mapema sana ndiyo maana siku hizi ameanza kufanya mapenzi mara tatu usiku.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here