26.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, May 22, 2024

Contact us: [email protected]

Nia Guzman: Sikuwahi kutoka na King Ba

Nia GuzmanLOS ANGELES MAREKANI

MAMA mtoto wa Chris Brown, Nia Guzman, ameweka wazi kwamba hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na raia wa Brazil, King Ba ambaye alidai kuwa mtoto aliyezaa na mwanamuziki, Chriss Brown ni wake.

Awali msanii huyo alichafua hali ya hewa baada ya kutangaza kuwa ndiye baba wa mtoto huyo, Royalty ambaye ni mtoto wa Chris Brown.

“Sikuwa na uhusiano wowote na King Ba zaidi ya urafiki tu, habari zote ni uhongo, ukweli ni kwamba Chris ni baba sahihi wa mtoto huyo japokuwa nina wasiwasi na usalama wa mwanangu kutokana na tabia za msanii huyo,” alieleza Nia.

Hata hivyo, Chris ameonekana kutulia tangu alipofanikiwa kumpata mtoto huyo na kudai kuwa ameamua kubadilika ili aonekane baba mwema.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles