25.2 C
Dar es Salaam
Thursday, November 7, 2024

Contact us: [email protected]

Mwalimu Kashasha afariki dunia

MCHAMBUZI mahiri wa soka hapa nchini Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam, alipokuwa anapatiwa matibabu.


Taarifa za kifo cha Mwalimu Kashasha, zimetolewa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), alipokuwa anafanyia kazi hadi mauti ilipomfika.


Mwalimu Kashasha amejipatia sifa kutokana na uchambuzi wake wa soka uliojaa vionjo mbalimbali vilivyowavutia mashabiki wa mchezo huo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles