MSHUKIWA WA SHAMBULIZI LA BERLIN AUAWA

0
596

mshukiwa

Kijana aliyeendesha shambulizi kwenye soko mjini Berlin Anis Amri, ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi mjini Milan nchini Italia.

Awali, Amri aliwafyatulia polisi risasi na kuuwa askari mmoja pale walipotaka awaonyeshe kitambulisho chake wakati wa doria katika eneo la Sesto San Giovani.

Hata hivyo, Ujerumani imekuwa kwenye tahadhari kubwa tangu shambulizi hilo litokee na kupoteza maisha ya watu 49.

Wakati huo huo polisi wamewakamata watu wawili katika mji wa Oberhausen baada ya kushukiwa kupanga mashambulizi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here