26.1 C
Dar es Salaam
Friday, January 3, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Mke wa Mrema afariki dunia

Na Brighiter Masaki, Mtanzania Digital

Mke wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema, Mama Rose Mrema amefariki dunia.

Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema. Picha| Maktaba.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Mume wa marehemu, Mzee Augustine Mrema zimeeleza kuwa Rose amefariki dunia Alhamisi Septemba 16, 2021 saa 8, mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

“Nasikitika kutangaza kifo cha mke wangu (ROSE MREMA) kilichotokea jana tarehe 16/9/2021 saa 8 mchana Muhimbili kwa tatizo la shinikizo la damu,” Augustino Lyatonga Mrema.

“Nasikitika kutangaza kifo cha mke wangu (ROSE MREMA) kilichotokea jana tarehe 16/9/2021 saa 8 mchana Muhimbili kwa tatizo la shinikizo la damu,” Augustino Lyatonga Mrema.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles