26.9 C
Dar es Salaam
Friday, January 3, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Mjadala wa Kitaifa juu ya Bajeti Kuu ya Serikali 2022/2023

Zoom Meeting
Saturday, June 18th, 2022, 16:00 pm

Watch Tanzania  inakualika kushiriki Mkutano Maalum utakaofanyika Juni 18, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.

Mada; Mjadala wa Kitaifa juu ya Bajeti Kuu ya Serikali 2022/2023

Muda ukifika (Saa 10 kamili, Juni 18, 2022 – Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/39sUi7G

Au kupitia
Meeting ID: 838 8862 4578
Passcode: 561944

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili kwa pamoja Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2022/2023.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania – TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel – Tanzania

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles