HomeBiashara na Uchumi Biashara na Uchumi Mgodi wa Barrick wakamilisha mradi wa kuhifadhi maji uchenjuaji dhahabu By Mtanzania Digital December 30, 2021 0 1978 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara, Apolinary Lyambiko akielezea jambo kwa Waandishi wa habari waliotembelea mgodi huo uliopo Wilaya ya Tarime mkoani Mara juzi wakati wa kampuni hiyo ilipotangaza kufikia lengo lao la kukamilika kwa mradi wa kuhifadhi maji yatokanayo na uchenjuaji wa dhahabu pamoja na kusimika mitambo ya kisasa ya kusafisha maji kutoka lita milioni 2.5 ya zamani hadi lita milioni 40 kwa siku yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 65. Mwenyekiti wa Kijiji cha Matongo kilichopo Wilaya ya Tarime mkoani Mara Daudi Itembe, wakati wa ziara ya viongozi wa vijiji kutembelea mitambo ya kisasa ya kusafisha maji yanayotokana na uchenjuajji wa dhahabu ya Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara wakati wa kampuni hiyo ilipotangaza kufikia lengo la kukamilika kwa mradi huo na kusimika mitambo ya kisasa ya kusafisha maji hayo kutoka lita milioni 2.5 za zamani hadi lita milioni 40 kwa siku yenyethamani ya dola za kimarekani milioni 65. Meneja Uchenjuaji wa mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara, Christopher Mwinuka akifafanua jambo kwa waandishi wa habari waliotembelea mgodi huo uliopo Wilaya ya Tarime mkoani Mara juzi wakati wa kampuni hiyo ilipotangaza kufikia lengo la kukamilika kwa mradi wa kuhifadhi maji yatokanayo na uchenjuaji wa dhahabu pamoja na kusimika mitambo ya kisasa ya kusafisha maji hayo kutoka lita milioni 2.5 za zamani hadi lita milioni 40 kwa siku yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 65. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleUchimbaji salama wa migodi ni ajenda ya kudumu-Dk. BitekoNext articleKafulila: Hakuna hiari kwa mzazi, mlezi kupeleka mtoto shule Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz/ Related Articles Uncategorized Benki ya Akiba yawatoa hofu wateja wake Kariakoo Uncategorized Waziri Simbachawene: Taasisi za umma zingatieni usalama na afya mahali pa kazi Elimu na Teknolojia DAS Mhagama atoa somo kwa watendaji LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow591,000SubscribersSubscribe Latest Articles Uncategorized Benki ya Akiba yawatoa hofu wateja wake Kariakoo Uncategorized Waziri Simbachawene: Taasisi za umma zingatieni usalama na afya mahali pa kazi Elimu na Teknolojia DAS Mhagama atoa somo kwa watendaji Biashara na Uchumi Mradi wa kufua umeme Rusumo kuzinduliwa Feb.2025 Michezo Kitaifa Mjerumani amrithi Gamondi Yanga Load more