Makala| Skimu ya umwagiliaji Morogoro yakwama kwa zaidi ya miaka 10

*Milioni 700 zazama *Yaathiri ndoto za wakulima kufikia kilimo chenye tija Na Ashura Kazinja, Morogoro WANANCHI zaidi ya 11,000 wa vitongoji vitatu vya Mbuyuni, Rudewa Batini na Gongoni katika kata ya Rudewa wilayani Kilosa mkoani Morogoro matumaini yao ya kupanua kilimo chenye uhakika cha umwagiliaji bado ni kitendawili kufuatia mradi wa skimu ya umwagiliaji katika … Continue reading Makala| Skimu ya umwagiliaji Morogoro yakwama kwa zaidi ya miaka 10