22.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, October 5, 2022

Rais Magufuli amteua Polepole kuwa mbunge

Na Faraja Masinde

Rais Dk. John Magufuli leo Novemba 29, amemteua, Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzani

Kabla ya uteuzi huo, Polepole alikuwa Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). 

Aidha, Rais Magufuli amemteua, Riziki Lulida kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, @gersonmsigwa imesema wabunge Wateule hao wataapishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,751FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles