Lowassa pasua kichwa

Na Absalom Kibanda, Dar es salaam SASA ni bayana kwamba tumeingia kwa kishindo mwaka wa Uchaguzi Mkuu ambao Watanzania tunaratajia kupata safu mpya ya viongozi wa kisiasa na wa kiserikali watakaoliongoza taifa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Kauli za kushtusha, kushangaza, za maana na za kipuuzi zimeanza kusikika kutoka katika kila kona ya taifa … Continue reading Lowassa pasua kichwa