25.6 C
Dar es Salaam
Sunday, January 5, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Kasino za 1XBET

Ndani ya 1XBET, tunakuletea michezo ya kasino ambayo inakupa namna tofauti tofauti  za kujishindia pesa. Makao makuu yetu yako Urusi lakini tunatoa huduma katika nchi kadhaa ulimwenguni zikiwemo Tanzania, Kenya, na Uganda. Kampuni yetu ilianzishwa mwaka wa 2007 na mpaka wa leo, tunaendelea kunawiri. Huduma zetu ni za hali ya juu ulimwenguni kote na bado tunaendelea kujiimarisha zaidi. 

Jinsi ya kujiandikisha kwa 1XBET

Kabla haujaanza kufurahia kasino ndani ya 1XBET, unafaa kujiandikisha. Unaweza kujiandikisha kupitia kwa moja kati ya njia zifuatazo.

  • Kupitia kwa barua pepe
  • Kutumia namba yako ya simu, au
  • Kupitia kwa mitandao ya kijamii kama Facebook

Mfumo rahisi wa kujiandikisha ni kupitia namba yako ya simu.kama ifuatavyo.

  1. Tembelea mtandao wa 1XBET na uchague nchi yako kwenye orodha.
  2. Chagua fulusi yaani ‘currency’ utakayotumia.
  3. Unda neno siri.
  4. Rudia neno siri
  5. Bonyeza ‘Register’ na ufuate maagizo.

Kuweka pesa kwa 1XBET

Unahitaji kuweka pesa kwa akaunti yako ili kubashiri michezo mbalimbali ya kasino. Unaweza kuweka pesa ukitumia huduma tofauti za pesa zikiwemo Tigo Pesa, Airtel Money, na Vodacom M-pesa. Unaitajika kuweka angalau TZS 305.

Aina za Kasino za 1XBET 

Zifuatazo ni aina mbalimbali za kasino zetu. Kila mojawapo inakupa nafasi kubwa ya kujishindia malefu ya pesa.

Baccarat

Kasino za Baccarat ni kama; Baccarat, High Limit Baccarat, Baccarat Wheel, Draw High Low, na Baccarat 0% Commission.

Blackjack 

American Blackjack, Atlantic City Blackjack, Pontoon, Blackjack Switch, na Blackjack 3D Multi-Hand ni baadhi ya kasino za Blackjack. 

3D Slots 

3D Slots kasino inajumuisha Football Superstar, Adelia The Fortune Wielder, Platooners, Arctic Madness, na Cheerful Farmer.

Ziada za 1XBET

1XBET inakupa ziada tofauti tofauti unapoendelea kuwa mteja mwema wa kampuni. Baadhi ya ziada ni kama zifuatazo.

Ziada ya kujiandikisha 

Ukijiandikisha kucheza kasino kwa mtandao wa 1xbet kwa Tanzania unapata  zawadi ya hadi TZS 3,457,500. Zawadi hii unaweza kuitumia kuchezea kasino ambapo unapata mizunguko 150.

Rafiki 

Unaweza kupata ziada za hadi 20% unapomkaribisha rafiki yako kwa 1XBET. Rafiki yako anafaa kufungua akaunti akitumia kiunga maalum kinachohusiana na akaunti yako.

Ijumaa ya Bahati 

Ziada hii inaweza kufikia TZS 231,000 na hupeanwa kila ijumaa. ziada yenyewe iko sahihi kuanzia saa 00:00 hadi 23:59 kila ijumaa baada ya kuweka pesa fulani kwa akaunti yako. 

X2 Jumatano 

Unaweza kupata TZS 231,000 au zaidi kila Jumatano kucheza kasino mbalimbali ndani ya mtandao wetu.

Ziada ya siku ya Kuzaliwa 

1XBET watakupatia ziada siku yako ya kuzaliwa. Kumbuka kuwa, wakati wa kujisajili, unapeana maelezo kuhusu siku yako ya kuzaliwa.

Hitimisho

Kampuni yetu ni rahisi kujiandikisha ukitumia simu au kompyuta. Tuna aina tofauti tofauti za kasino za 1XBET zikiwemo Blackjack,3D Slots, Baccarat, Kasino za jackpot na zinginezo. Tuna aina kadhaa ya ziada ambazo unapata wakati wa kujiandikisha na baadaye. Unaweza kutumia ziada kwa kuchezea kasino. Changamoto ya kasino za 1XBET ni kuwa, ni vigumu kufahamu jinsi ya kucheza. Zaidi ya yote, 1XBET ni kampuni bora ya ya kufurahia michezo ya kasino. 

Maswali yanayoulizwa sana

  1. Nitapokea vipi ushindi wangu kutoka 1XBET?

Bonyeza “Withdraw Funds”, chagua njia ya malipo, kisha utazipokea hela zako..

  • Je, naweza fungua akaunti mbili?

Nambari moja ya simu inaweza kufungua akaunti moja yapekee. 

  • Kiwango cha chini kabisa cha kuwekeza ni kipi?

Kiwango cha chini kabisa kuwekeza kwa 1XBET ni TZS 692.

- Advertisement -
Previous article
Next article

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles