28 C
Dar es Salaam
Friday, February 23, 2024

Contact us: [email protected]

Jose Chameleone kwenye kinyang’anyiro cha umeya Kampala

Kampala, Uganda

Nyota wa muziki wa Hip hop nchini Uganda, Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone ni miongoni mwa wagombea wa nafasi ya Meya wa Jiji la Kampala.

Uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa unafanyika leo Januari 20 nchini Uganda, pamoja na Meya wa majiji kukiwa na ushindani mkali katika Jiji la Kampala.

Meya anayetetea kiti chake ni Elias Lukwango wa chama cha FDC anakabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa msanii, Jose Chameleon ambaye ni mgombea wa kujitegemea, na msanii mwingine anayewania kiti hicho ni Danel Kazibwe maarufu kama Ragga D kutoka chama tawala na mgombea mwingine ni Nabilah Naggayi kutoka chama cha Bobi Wine.

Wakati huo huo tume ya uchaguzi ikiwa imepokea matokeo ya vituo 1,200 vya kupiga kura ambavyo havikujumuishwa wakati akitangazwa rais Museveni kuwa mshindi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles