26.2 C
Dar es Salaam
Monday, March 27, 2023

Contact us: [email protected]

Jacqueline Wolper: Anayetoka na Nay wa Mitego ameshajulikana

wolperNA RHOBI CHACHA
MWIGIZAJI wa filamu za kibongo, Jacqueline Wolper, amewaweka njia panda mashabiki wake kwa kauli yake kwamba msichana aliyekwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameshafahamika, tofauti na alivyokuwa akihisiwa yeye.
“Watu hawana dogo, ukiwa karibu na mtu basi utaambiwa mpenzi wako, Nay hakuwahi kuwa mpenzi wangu kwa kuwa ni zaidi ya rafiki kwangu, ila watu wasio waelewa ndiyo walikuwa wakivumisha kwamba tuna uhusiano kwa maslahi yao, lakini sasa ukweli umejulikana kama mnavyoona na mnavyosikia Nay ni wa nani,” alieleza Jacqueline bia kumtaja anayetoka na mwana hip hop huyo.
Wolper aliongeza kwamba taarifa hizo ziliposambaa alipata tabu ambapo alikuwa akitumia muda mwingi kujieleza kwa watu wake wa karibu kutokana na tuhuma hizo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
211,206FollowersFollow
564,000SubscribersSubscribe

Latest Articles