27.2 C
Dar es Salaam
Thursday, May 23, 2024

Contact us: [email protected]

Ibrahimovic: Nitakuwa Mungu wa Man United

Zlatan Ibrahimovic
Zlatan Ibrahimovic

MANCHESTER, ENGLAND

MSHAMBULIAJI mpya wa klabu ya Manchester United, Zlatan Ibrahimovic, amemjibu mchezaji wa zamani wa klabu hiyo, Eric Cantona, kwamba anatarajia kuwa Mungu wa klabu hiyo.

Cantona alidai kwamba Ibrahimovic atakuja kuwa mfalme wa klabu hiyo, lakini mchezaji mwenyewe amesema hawezi kuwa mfalme, lakini anaamini atakuja kuwa Mungu wa klabu hiyo.

“Ninamkubali sana Eric Cantona na nimemsikia maneno yake, lakini nataka kumwambia kwamba siwezi kuwa mfalme ndani ya United, ila ninaamini nitakuja kuwa Mungu wa klabu hiyo,” alisema Ibrahimovic

Hata hivyo, mchezaji huyo amedai kwamba amejiunga na klabu hiyo kwa ajili ya kuipa mataji kama alivyofanya akiwa klabu ya PSG na anaamini ataweza kufanya hivyo chini ya kocha mpya, Jose Mourinho.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles