26 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

Godbless Lema apewa hifadhi Canada

OTTAWA, CANADA

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema amepata nafasi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.

taarifa zinasema, Lema aliondoka jana nchini Kenya akiwa na familia yake, wakili wake, George Luchiri Wajackoyah amethibitisha.

Mwezi uliopita, Lema alikamwatwa na polisi nchini Kenya kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na kumuachia huru baada ya muda mfupi.

Kwa mujibu wa wakili wake, Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
584,000SubscribersSubscribe

Latest Articles