23.4 C
Dar es Salaam
Friday, June 21, 2024

Contact us: [email protected]

Eddie Murphy anatarajia mtoto wa tisa

eddie-murphyNEW YORK, MAREKANI

MSANII wa filamu na muziki nchini Marekani, Eddie Murphy na mchumba wake, mwanamitindo Paige Butcher, wanatarajia mtoto wa kike hivi karibuni atakayefikisha idadi ya watoto tisa wa msanii huyo.

Msanii huyo mwenye umri wa miaka 55, ameweka wazi kupitia mtandao wa Instagram kwamba yeye na mchumba wake wa miaka mitatu wanatarajia mtoto wa kiume.

Kwa sasa Murphy ana jumla ya watoto nane ambapo wa kiume watatu na wakike watano.

Mtoto wa kwanza wa msanii hiyo ana umri wa miaka 25, anajulikana kwa jina la Bria, wengine ni Shayne (21), Zola (15), Bella (13), ambao alizaa na mpenzi wake wa zamani Nicole Murphy kabla ya kuachana 2006 baada ya kukaa miaka 22 kwenye ndoa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles