29.2 C
Dar es Salaam
Sunday, January 5, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Drake: Nilimpenda Rihanna nikiwa na miaka 22

DrakeNEW YORK, MAREKANI

NYOTA wa muziki wa Pop nchini Marekani, raia wa Canada, Aubrey Drake, amesema alianza kumpenda mpenzi wa zamani wa Chris Brown, Rihanna tangu alipokuwa na miaka 22.

Drake ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 29, amedai kuwa alianza kuwa karibu na Rihanna miaka ya nyuma, lakini alishindwa kuonyesha wazi ila kwa sasa kila mmoja anajua kuwa wawili hao wapo karibu.

“Nilianza kuvutiwa na Rihanna nikiwa na miaka 22, lakini sikuonyesha chochote kwake, lakini kwa sasa nimeweza kufanikiwa kuwa naye.

“Hakuna chochote kinachoendelea kati yetu zaidi ya urafiki wa karibu kutokana na kazi zetu za muziki na si vinginevyo,” alieleza Drake.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles