26.1 C
Dar es Salaam
Sunday, November 17, 2024

Contact us: [email protected]

Dk. Kijaji ahimiza Watanzania kumuunga mkono Rais Samia

Na Hadia Khamis, Mtanzania Digital

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk. Ashantu Kijaji amewataka Watanzania kuungana pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan katika kupambania uchumi.

Akizungumza katika ufunguzi wa Maonyesho ya 46 ya Kimataifa ya wafanyabiashara amesema Serikali ya awamu ya sita imedhamiria kuongoza na kuipelekea Tanzania katika hatua ya juu kiuchumi.

“Kwa sasa serikali kupitia wizara ya viwanda tayari imeshasaini mikataba 36 yenye thamani ya Sh trillion 17.35 kwenye sekta mbali mbali zikiwemo za nishati, kilimo na teknolojia”,alisema Dk. Kijaji.

Akizungumza Katika ufunguzi huo Katibu Mtendaji  wa Eneo Huru la Biashara Afrika kutoka Ghana Wamkele, alisema ni muda muafaka wa nchi za Bara hilo kuungana katika soko la pamona la biashara ili kukuza uchumi.

Mene alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, katika uzinduzi wa Maonyesho ya 46 ya Biashara Kimataifa (Sabasaba) yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TANTRADE), 
Alisema atahakikisha anafanya kongamano kubwa la wafanyabiashara wanawake Tanzania ambapo zaidi ya waudhuliaji 400 watashiriki mapema mwezi ujao.

Alisema wameichagua Tanzania kwakuwa mambo sasa ni mazuri na yapo mengi ya mfano katika uchumi, biashara na uwekezaji yamefikiwa.

“Kwangu maonyesho haya ni sehemu ya kujifunza na kuongeza uzoefu, Tanzania kuna uongozi mzuri wenye maono na utendaji thabiti,”alisema.

Alisema kila kitu kinawezekana kwa Afrika kukiwa na mikakati madhubuti, kwakuwa nchi hizo bado zipo katika kundi la nchi zinazoendelea.

“Waasisi wa nchi hizi akiwemo Mwalimu Julius Nyerere walipambana na ukoloni na kuhakikisha wanatukomboa kiuchumi, ni muda sahihi wa kushirikiana katika kukuza soko la bidhaa zetu,”alisema.

Alisema ni muda muafaka wa nchi za Afrika kuboresha bidhaa ili kukidhi vigezo vya soko la ndani na nje.

“Ndani ya muda mfupi sana Bara la Afrika linashuhudia ongezeko kubwa la uwekezaji na biashara,kwangu natamani kuwa sehemu ya mabadiliko haya 

Alisema yeye binafsi anavutumiwa na maono, uongozi na mafanikio yaliyofikiwa na serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles