23.3 C
Dar es Salaam
Sunday, June 16, 2024

Contact us: [email protected]

DAVID KAFULILA AHAMA NCCR, ATANGULIA CHADEMA

David Z. Kafulila
David Z. Kafulila

NA MWANDISHI WETU,

Aliyekuwa Katibu mwenezi wa  NCCR – MAGEUZI David Z. Kafulila ametoa waraka wa wazi akitaarifu kuwa  amejiengua na uanachama na nafasi aliyokuwa nayo katika chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Pamoja na mambo mengine, katika waraka huo Kafulila  ameushukuru uongozi wa  NCCR- MAGEUZI kwa muda wote aliokuwa nao. Pia  akaeleza uamuzi wake wa kujivua nafasi yake ya uongozi na nia yake ya kufuata mabadiliko licha ya ukandamizwaji  unaofanywa na vyombo vya kusimamia haki.

Kafulila ameeleza maoni yake ya kuunganisha nguvu na kuwa na chama kimoja cha upinzani chenye mikakati dhabiti ya kuleta mabadiliko na chama hicho si kingine bali ni Chadema.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles