DAKTARI BINGWA AELEZA MADHARA ZA CHOKLET KWA WAJAWAZITO

Na AVELINE KITOMARY DAR ES SALAAM DAKTARI Bingwa wa watoto kutoka Chuo kishiriki cha Sayansi ya Afya Muhimbili (MUHAS) Dk Fransis Furia ameeleza kiwango cha chai na kahawa ambacho kinatakiwa kutumiwa na mjamzito. Dk Furia alisema kuwa kuna madhara makubwa kwa mtoto aliyeko tumboni endapo mama atatumia kiwango kikubwa cha majani ya chai na kahawa. … Continue reading DAKTARI BINGWA AELEZA MADHARA ZA CHOKLET KWA WAJAWAZITO