22.5 C
Dar es Salaam
Friday, June 21, 2024

Contact us: [email protected]

Ciara kumshtaki mpenzi wake

crNEW YORK, MAREKANI

MSANII wa muziki nchini Marekani, Ciara Harris, amedai kwamba yupo mbioni kumfungulia mashtaka mpenzi wake, Nayvadius Wilburn ‘Future’, kwa madai kwamba anamtangaza kuwa hafai kuwa mama wa familia.

Wawili hao wamekuwa kwenye uhusiano kwa kipindi kirefu lakini wana mgogoro wa tuhuma za kusalitiana kimapenzi.

“Tulikuwa kwenye uhusiano, lakini kwa sasa kila mmoja anafanya mambo yake, ila ninashangaa kuona ananitangazia mambo tofauti kila siku, sina muda wa kujibizana naye, kikubwa aniache kama nilivyo.

“Ninaamini hakuna mtu ambaye amekamilika, hata yeye ana makosa yake, ila kama ataendelea na maneno yake nitamfikisha sehemu husika na itamgharimu dola milioni 15,” alisema Ciara.

 

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles