Barafu amfagilia Riyama

0
930

riyama_allyNA SHARIFA MMASI

MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Suleiman Said ‘Barafu’, ameamua kumfagilia msanii mwenzake wa tasnia hiyo, Riyama Ally, kwamba ndiye anayeitendea haki kazi yake ya sanaa kutokana na umahiri anaoufanya anapoigiza mambo mbalimbali.

“Napenda sana kazi za Riyama Ally, huyu dada kwanza anajielewa na kutambua kitu anachofanya, hasa awapo mbele ya kamera,” alisema Barafu.

Barafu anasema ipo haja ya waigizaji wa kike kuzifuatilia kazi za msanii huyo ili wajifunze mbinu anazotumia katika uigizaji wake ili wengine nao waigize kama yeye ama zaidi yake katika kuboresha filamu zao,’’ alisema Barafu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here