atinga robo fainali Shanghai Masters

0
529

Andy_Murray_2590815bSHANGHAI, CHINA

NYOTA wa tenesi, Andy Murray, ametoka nyuma kwa seti moja na kumchapa John Isner na kutinga robo fainali ya michuano ya Shanghai Masters.

Mwingereza huyo namba mbili kwa ubora duniani, 28, alionyesha uimara mbele ya uso wa Isner na kushinda kwa seti 6-7 (4-7) 6-4 6-4.

Ilimchukua saa 2.30 Murray kuweza kumaliza pambano hilo na sasa atakutana na Tomas Berdvch au Gilles Simon kwenye robo fainali, itakayofanyika leo.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here