AT na Kiguu na Njia

0
796

ATNA SHARIFA MMASI
MKALI wa wimbo wa ‘Sijazoea’, Aly Ramadhani (AT) yupo mbioni kukamilisha wimbo wake mpya alioupachika jina la ‘Kiguu na Njia’.
Wimbo huo unafanyiwa marekebisho madogo madogo katika studio ya Uprize Music iliyopo chini ya prodyuza Fraga, ili isambazwe kwenye vituo vya redio kwa ajili ya kuchezwa rasmi.
AT alisema baada ya wimbo huo kuanza kusikika redioni atajipanga kufanya video nzuri itakayomhusisha mmoja wa waigizaji wakongwe katika uigizaji nchini ili kunogesha video hiyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here