AG Feleshi abariki Bodi ya Wanahabari, wadau wapongeza

*Asema Ofisi yake inaunga mkono hatua zinazochukuliwa *Wadau wasema ni mwanzo mzuri Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Eliezer Feleshi amependekeza kuundwa kwa Bodi ya Wanahabari itakayosimamiwa na wanahabari wenyewe. Amesema kuundwa kwa chombo hicho ndio kitachokuwa na wajibu wa kusimamia wanahabari na hata kuwashughulikia endapo watakwenda kinyume na maadili ya … Continue reading AG Feleshi abariki Bodi ya Wanahabari, wadau wapongeza