RIO DE JANEIRIO, Brazil
SHIRIKISHO la soka duniani, FIFA limetoa orodha ya majina ya wachezaji waliowahi kufunga mabao matatu katika fainali za Kombe la Dunia tangu ilipoanzishwa michuano hiyo.
Kwa mujibu wa shirikisho hilo, wachezaji kutoka mataifa mbalimbali wamewahi kufunga mabao matatu katika mechi moja tangu mwaka 1930 hadi mwaka 2014.
Bert Patenaude (Marekani), Guillermo Stabile (Argentina), Pedro Cea (Uruguay), Edmund Conen (Ujerumani), Angelo Schiavio (Italia), Oldrich Nejedly (Czechoslovakia), Ernst Wilimowski (Poland), Leonidas Da Silva (Brazil), Gustav Wetterstrom (Sweden), Gyula Zsengeller (Hungary), Oscar Miguez (Uruguay), Ademir Marques de Menezes (Brazil), Sandor Kocsis (Hungary) na Erich Probst (Austria).
Wengine ni Carlos Borges (Uruguay), Sargin Burhan (Uturuki), Max Morlock (Ujerumani), Josef Hugi (Uswisi), Theodor Wagner (Austria), Just Fontaine (Ufaransa), Pele(Brazil), Florian Albert (Hungary), Eusebio(Ureno), Geoff Hurst (England), Gerd Muller (Ujerumani), Dusan Bajevic (Yugoslavia), Andrzej Szarmach (Poland), Rob Rensenbrink (Uholanzi), Teofilo Cubillas (Peru).
Pamoja na Laszlo Kiss (Hungary), Karl-Heinz Rummenigge (Ujerumani), Zbigniew Boniek (Poland), Paolo Rossi (Italia), Preben Elkjaer-Larsen (Denmark), Gary Lineker (England), Igor Belanov (Urusi), Emilio Butragueno (Hispania), Michel (Hispania), Tomas Skuhravy (Czechoslovakia), Gabriel Batistuta (Argentina), Oleg Salenko (Russia), Miroslav Klose (Ujerumani), Pauleta (Ureno) Gonzalo Higuain (Argentina), Thomas Muller (Ujerumani) na Xherdan Shaqiri (Uswisi).
Wambura naomba ukubali kushindwa na kwa mtazamo wangu naomba uangalie ustarabu mwingine wa kufanya maana kuhusu soka una bahati mbaya. Jiulize kila unapogusa unakataliwa. Naomba jipange uangalie usawa mwingine tu.
Mtazamo wangu.
amri, Tanga.