26.5 C
Dar es Salaam
Saturday, November 23, 2024

Contact us: [email protected]

Tanzania, Zambia na China kushirikiana ufufuaji wa TAZARA

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu itaendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha usafirishaji wa mizigo kwa njia ya reli unaimarishwa kwa kutenga fedha kila mwaka ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo ya ndani na nje ya Tanzania inayosafirishwa kupitia Bandari ya Dar es Salaam.

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akifuatilia majadiliano yaliyofanyika kati yake na Waziri wa Uchukuzi na Lojistiki wa Zambia Frank Tayali, Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian kwa njia ya matandao kuhusu kuboresha utendaji na Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA). Kushoto ni Katibu Mkuu wa Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Ally Possi.

Akizungumza katika Kikao cha Utatu kilichojumuisha Balozi wa China, Waziri wa Uchukuzi wa Serikali ya Tanzania na Waziri wa Uchukuzi na Lojistiki wa Serikali ya Zambia kilichofanyika kwa njia ya mtandao jijini Dodoma, Waziri Mbarawa amesema kuimarisha kwa usafiri wa reli wa nchini hususani Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kutapunguza changamoto.

Kushoto ni Katibu Mkuu wa Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Ally Possi wakifuatilia majadiliano yaliyofanyika kati ya Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarwa, Waziri wa Uchukuzi na Lojistiki wa Zambia, Frank Tayali, Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian (hawapo pichani) kwa njia ya mtandao kuhusu kuboresha utendaji na Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA).
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akifuatilia majadiliano yaliyofanyika kati yake na Waziri wa Uchukuzi na Lojistiki wa Zambia Frank Tayali, Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian kwa njia ya matandao kuhusu kuboresha utendaji na Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA).


- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles