29.9 C
Dar es Salaam
Monday, December 16, 2024

Contact us: [email protected]

Timu Zipi Kufuzu Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Leo?

Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo unaopenda wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. https://a.meridianbet.co.tz/c/Hbumdh

Wahenga waliwahi kusema Usiku wa deni hauchelewi, ni sasa kule kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kitaeleweka nani mbambe dhidi ya mwenzake, raundi ya pili hatua ya robo fainali, Katika dimba la Stamford Bridge Chelsea vs Madrid, Napoli vs AC Milan, Bayern vs Man City. Kamata odds kubwa na machaguo mengi kutoka Meridianbet ukibashiri mechi hizi.

Odds kubwa za Jumanne.

Meridianbet wameamua kuinogesha siku hii, wakati ambapo wengi wanasubiri kuona kama vijana wa Frank Lampard Chelsea wataweza kuwazuia vijana wa Ancelotti kufuzu nusu fainali, mchezo wa kwanza The Blues alikufa bao 2-0 huko Santiago Bernabeu bado ana nafasi ya kujiuliza nyumbani kwake.

Napoli hawatakuwa na jambo la kupoteza Zaidi ya kusaka ushindi wa Zaidi ya goli moja, ikumbukwe mechi ya kwanza alifungwa bao 1-0 ugenini, Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya ushindi Napoli, huku Milan akipewa Odds kubwa ya 4.60 ashinde kwenye dimba la Stadio Deigo Armando Maradona Je ataweza?

Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette wameongeza machaguo Zaidi 1000+ kwenye mechi hizi za Ligi ya Mabingwa. Bonyeza hapa kuona machaguo Zaidi na mchanganuo wa odds kubwa bashiri mubashara.

Odds kubwa za Jumatano.

Dimba la Ethiad Man City walimkanda Bayern Munich mabao 3-0, leo amebadilisha uwanja lakini wachezaji ni 11 ni dimba la Allianz Arena. Odds kubwa za ushindi ni Bayern 2.69 vs 2.45 Man City, sare 3.57. Meridianbet wanakwambia CHAGUA TUKUPE iwe ni odds kubwa watakupa, Kasino ya mtandaoni, kubashiri mubashara unaweza, michezo ya sloti kama Aviator, poker na Roulette yote unaipata kubwa Zaidi ukiona jamvi lako linataka kuchanika unaweza kucash out/Kuturbo.

Inter Milan ana faida ya ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Benfica, na sasa anarudi kwenye dimba la Giuseppe Meazza Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi kwa odds kubwa 2.20 vs 3.19 ya Benfica chaguo ni lako unaenda nan ani ili mkeka wako uwe salama kwa dakika 90.

NB: Meridianbet imekuja na Jackpoti kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles