31.2 C
Dar es Salaam
Sunday, December 15, 2024

Contact us: [email protected]

Jonathan Budju kuachia video ya ‘Tawala’ leo

MWIMBAJI nyota wa Injili kutoka Ontario, Canada, Jonathan Budju, amewaomba mashabiki wa muziki huo kukaa tayari kwaajili ya video ya wimbo wake, Tawala.

Budju, ambaye amekuwa akitoa nyimbo mfululizo, ameiambia mtanzania.co.tz kuwa video ya Tawala itakuwa katika chaneli yake ya YouTube.

“Nashukuru audio ilipokelewa vizuri na mashabiki, naamini video pia itawabariki wengi kwasababu ni video nzuri yenye ubora na imebeba ujumbe mzuri wa kumualika Yesu atawale maisha yetu, video itakuwa kwenye chaneli yangu ya YouTube pia itaanza kuchezwa kwenye TV mbalimbali,” amesema Budju.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles