25.4 C
Dar es Salaam
Thursday, January 20, 2022

20 bora ya BSS yaingia kambini

Madam-RitaNA MWANDISHI WETU

WASHIRIKI 20 waliochaguliwa kutoka mikoa minne ya shindano la Bongo Star Search (BSS), wameingia kambini kwa ajili ya shindano hilo.

Shindano hilo linaendeshwa na Benchmark Production chini ya udhamini wa Salama Condom na Kampuni ya Coca Cola, linawakutanisha wasanii kutoka mkoa wa Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar es Salaam.

Jaji Mkuu wa shindano hilo, Ritha Paulsen, alisema wasanii hao watafundishwa kuimba, kutafuta pumzi, kutumia vyombo vya muziki, kujua namna ya kujiweka na kuzungumza kisanii pamoja na kufahamu biashara ya muziki wanaoufanya.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
175,404FollowersFollow
531,000SubscribersSubscribe

Latest Articles