WANAFUNZI WABOMOA NYUMBA YA MWALIMU, WADAI KUCHOSHWA NA VISA VYAKE

Na Safina Sarwatt, Kilimanjaro Wanafunzi wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari ya Lyamungo iliyopo Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro wamevamia nyumba ya mwalimu wa nidhamu wa shule hiyo, Safari Mwasile na kufanya uharibifu kwa madai ya kuchoshwa na visa vya mwalimu huyo. Aidha, wanafunzi hao pia wamefanya uharibifu katika mashamba ya … Continue reading WANAFUNZI WABOMOA NYUMBA YA MWALIMU, WADAI KUCHOSHWA NA VISA VYAKE