TPDC yahamasisha ulinzi na usalama wa mindombinu ya gesi asilia Dar

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa kushirikiana na Kampuni Tanzu ya GASCO limeendea kuelimisha umma juu ya ulinzi na usalama wa miundimbinu ya bomba la gesi kwa njia mbalimbali ikiwemo mikutano ya hadhara. Ikumbukwe kuwa elimu ya mara kwa mara imekuwa na matokeo chanya kwani ulinzi wa miundombinu … Continue reading TPDC yahamasisha ulinzi na usalama wa mindombinu ya gesi asilia Dar