RC Mwanza amtaka CAG Nyamagana

Na Clara Matimo, Mwanza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel, amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa huo, Ngusa Samike, amuandikie barua Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwenda mkoani humo kufanya ukaguzi wa kina kutokana na upotevu wa zaidi ya Sh Bilioni 3.15 zinazotolewa na serikali kwa makundi maalum … Continue reading RC Mwanza amtaka CAG Nyamagana