26.4 C
Dar es Salaam
Tuesday, November 26, 2024

Contact us: [email protected]

MARUFUKU UVAAZI NIQAB YAANZA KUTEKELEZWA

BENURNO,Austria


SHERIA inayopiga marufuku vazi la Kiislamu katika sehemu za umma imeanza kutekelezwa nchini Austria.

Serikali inasema sheria hiyo, inayosema kwa uso lazima uonekane ni ya kulinda tamaduni za Austria.
Hatua inakuja kabla ya uchaguzi mkuu baadaye mwezi huu ambapo chama cha mrengo wa kulia cha Freedom kinatarajiwa kupata mafanikio.

Makundi ya Waislamu yamekosoa sheria hiyo, yakisema ni nchini ina Waislamu wachache ambao huvaa Niqab
Karibu wanawake 150 huvaa burka nchini Austria, lakini maofisa wa kitalii wanasema hatua hizo pia zitawazuia wageni kutoka nchi za Ghuba.

Nchi za Ufaransa na Ubelgiji, zilipiga marufuku vazi la burk mwaka 2011 na hatua kama hiyo kwa sasa inazungumziwa katika Bunge la Uholanzi.

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel alisema vazi la kufunika uso wote litapigwa marufuku nchini Ujerumani.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles