Makala| Skimu ya umwagiliaji Morogoro yakwama kwa zaidi ya miaka kumi-2

*Vijana washindwa kujiajiri katika sekta ya kilimo *Wananchi wabaki njia panda, Serikali yaeleza Na Ashura Kazinja, Morogoro UPATIKANAJI wa ajira nchini umeendelea kuwa mgumu mwaka hadi mwaka huku kukiwa na vijana wengi wanaohangaika mtaani kutafuta kazi bila mafanikio na hivyo kubaki wakiwa hawajui la kufanya. Machi 3, mwaka huu, Serikali kupitia Naibu Waziri Ofisi ya … Continue reading Makala| Skimu ya umwagiliaji Morogoro yakwama kwa zaidi ya miaka kumi-2