BENKI YA NBC YACHANGIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI RUANGWA MKOANI LINDI

0
9502

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (watatu kushoto) akipiga picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (wa pili kushoto), akiwa na ujumbe wake baada ya kukabidhi msaada wa mifuko 1000 ya saruji kusaidia ujenzi wa kituo cha polisi cha Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (wa pili kushoto), akipokea mfano wa hundi kwa ajili ya kununua mifuko 1,000 ya saruji kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji waBenkiya NBC, Theobald Sabi, kwaajiliyakununuliamifuko 1,000 ya saruji kama  mchango wa NBC kuchangia ujenzi wa kituo cha polisi cha Wilaya ya Ruangwa, MkoaniLindi. Hafla ya makabidhiano  iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here